Kelliot - Acha Nicheze Lyrics

by Kelliot
(Tanzania)


SONG:    ACHA NICHEZE                                                             ARTIST:   KELLIOT

VERSE  1:
Natengeneza maisha yangu uu uuuh!
Najiongoza  ya kutenda aah aah! Ninajiipendaa, najijali
Ninaona nguvu yangu na sio udhaifu wangu!
Upendo wangu eeh! kwa mwenzangu
Hata sio wa msimu wala sio wa sababu  

BRIDGE:
I Love Everyday
I Let Go Everyday
I Have Fun Everyday
Happy Happy Everyday  

CHORUS:
Acha Nicheze
Acha Nicheze
Acha Nicheze  ee “Kwa Mungu wangu”
Acha Nicheze
Acha Nicheze
Acha Nicheze  Eee!

Acha Nicheze     “Moyoyoyo ”
Acha Nicheze     “Moyoyoyo ”
Acha Nicheze  
Acha Nichezeeeee  

VERSE 2:
Anza fanya, unachopenda
Hautachoka aa aa ah kuendelea
Ai! muda ni sasa hujachelewa no no no!
Muda ni sasa umeelewa
Utajipeenda, utajijaaali
Utaona nguvu yako  sio udhaifu wakooo
Upendo wako kwa mwenzakoo no nooo
Usiwe  wa msimu wala wa sababu  

BRIDGE:
I Love Everyday
I Let Go Everyday  
I Have Fun Everyday
Happy Happy Everyday  

CHORUS:
Acha Nicheze
Acha Nicheze
Acha Nicheze  ee “Kwa Mungu wangu”
Acha Nicheze
Acha Nicheze
Acha Nicheze  Eee!

Acha Nicheze     “Moyoyoyo ”
Acha Nicheze     “Moyoyoyo ”
Acha Nicheze  
Acha Nichezeeeee

VERSE 3:
Haya Haya Haya Nanaa Nanananana
Haya a Haya a OoH Nanana
……………………………  
I LOVE EVERYDAY
HAPPY HAPPY EVERYDAY EEEEH

Acha Nicheze
Acha Nicheze
Acha Nicheze
Acha Nicheze Moyoyoyo x3
………………………………..
Moyoyoyo Nananana

Click here to post comments

Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to Post Your Lyrics.