Esteezoh - Uliniacha Ukaenda

by Don Khalifa
(Nairobi, Kenya)

Esteezoh in Tanzania at Lizinka - Changamka video Shoot

Esteezoh in Tanzania at Lizinka - Changamka video Shoot

Uliniacha ukaenda, ukaniacha solema
Ona navyo teseka.
Tena Jinsi navyo kupenda, na vyenye we unanipenda ona.

Marafiki waulizia.. Ni lini utarudi mama aaah.
Kupiga simu ushiki, kupiga simu ushiki
unaniumiz kidonda ya moyo!!

Ulinipa mahaba ya kweli, Mahaba ya mapenzi mahaba ya kweli yeah
Ulinipa mahaba ya kweli, ya mapenzi iiiih!!
Uliniacha ukaenda, ukaniwacha solema, ona navyo teseka

(RJ Ideas (R) Esteezoh )

Uliniacha ukaenda, ukaniacha solema
Ona navyo teseka.
Uliniacha ukaenda, ukaniacha solema
Ona navyo teseka.

(c) May5Billionaires
https://soundcloud.com/jdrakekhalifa/esteezoh-uliniacha-ukaenda-accoustic-with-lyrics

Click here to post comments

Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to Post Your Lyrics.