Baba tulikupenda by di-joniour

by raphael muia munyao
(kenya)

asee

asee

asee
asee
kilinga
di joniour

Mama mzazi tafadhali acha kulia,
Nina mzazi tafadhali acha machozi
Mama tunakupenda mama tutakutunza
mbali tumetoka na mbali tunasonga
Nina tutakutunza uishie milele

(lakini maulana akampenda sana babax2)
Mama tunakupenda mama tutakutunza
mbali tumetoka na mbali tunasonga
Nina tutakutunza uishie milele

(Hipo sababu baba mzazi katangulia
tukaachwa na mama, mama mzazi tunakupenda x2)Baba babetu tulikupenda upendo wa dhati
lakini rabuka mipango yake mapenzi yake
kanyakua babangu lakini mama katuachia
asante maulana tunashukuru kwa ajili ya mama
Mama tunakupenda mama tutakutunza
mbali tumetoka na mbali tunasonga
Nina tutakutunza uishie milele

(Hipo sababu baba mzazi katangulia
tukaachwa na mama, mama mzazi tunakupenda x2)

Mama nakusihi baba mzazi tutapatana
acha machozi twamuomba mungu amhifadhi
iwapo tutafika mbinguni uko natupatane
Mama tunakupenda mama tutakutunza
mbali tumetoka na mbali tunasonga
Nina tutakutunza uishie milele

Comments for Baba tulikupenda by di-joniour

Average Rating starstarstarstarstar

Click here to add your own comments

Jan 09, 2018
Rating
starstarstarstarstar
good NEW
by:


hi guys,i need your song list
plz

Jan 09, 2018
Rating
starstarstarstarstar
best NEW
by:its a very nice song, keep
it up guys!!!!

Click here to add your own comments

Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to Post Your Lyrics.