TOFAUTI (different) - EDU SCAR (Swahili lirics)

by Edu Scar - 2.5.4
(Kenya)

God, u are the strong pilers of our lives
make us different.

(chorus)

Nifane niwe tofauti baba. Wewe...
Nifanye niwe tofauti baba, Wewe..
Nifanye niwe tofauti baba, Wewe...
Niwewe tu ndo wanifaa
Wewe tu Ndo wanifaa
Niwewe tu ndo wanifaa
Wewe tu.....

Mateens, walicompromise Identity
Wakitry kufeet in kwa hii socierty
Ni TV imeeka ni fiti
Tkitake Cover nyuma ha hii matindi
Ombitho, Mangale, Makale, Makemikale
Tulizi sare,Kama Obaks,
Na serikali ya kale

juu wanatuconfuse
mwkidaii wamechill
and infact, advert next ni ya Trust
But ukianguka wee inuka

Na mangamia,ziache kuchekelea
Manundu zamangombe zimesimama over there
Na zikumbuke zimebeba mbili pia

(chorus)

Click here to post comments

Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to Post Your Lyrics.