Ezeco-Nawaona below

by Ezeco de Mawe
(Dar es Salaam)


VERSE 1
Mercedes Mercedes(wanasema ninapita ndani ya maji)
Biashara na huyu girl ooh!(nilimuajiri kila siku anachelewa nikamuona ni mfanyakazi mlipuaji)
Nafanya kweli ndani ya album na hata ule uzinduaji
Nipo kwenye gari moja na mzee Lucifer anang'ang'ana na changu kipaji
Inua mikono sema Mungu naitaji mahitaji
Lakini nikisoma kwenye Biblia kwanza fanya kazi ndipo upate hayo mahitaji
Nigga nimechoka nataka masage masage!!!
Mdogo mdogo mcheze na nyimbo ya Versace Versace!!!
Ezeco sibahatishi mziki kama Ennie Minnie Money Moh
Kama mziki ni mashindano kama mpira basi nitapata Ballod 'or kama Ronaldo
Unabiidi uwe makini sana unapomtaka sana gal,ninaweza nikampata nikapiga PUU!!! kitandani mapigo you don' know,
Haters wanadiss-diss wanabisi-bisi Spartacus nina kasi kali harsh harsh nawatafuna okay!okay!okay!OKAY!
Yesu hakuzaliwa December sisherehekei hizo Christmass hapyy Christmass sitaki Christmass acha niandike mistari muda usipotee!!!!

HOOK
My niggas nawaona below
I say my niggas nawaona below
Na wewe nakuona below
Nipo high dunia naiona below

VERSE 2
Naitaji naitaji naitaji naitaji huyu demu anipige masage
Napoteza akili nikim-loose hoe
ndomaana natumia sana hizi dough
Upendo wa damu kwa binadamu Ezeco ninao moyo
Dj cheza hilo beat ili tudance on de floor
nimesikia vitu vingi lakini wanapenda ulivyo
Nakupenda we mutoto na mapenzi yako moto moto
Upendo wa damu kwa binadamu Ezeco ninao moyo
Mziki ni kama adventure ninatesa ninaongea sana maneno ya pesa
Usijali sijafika kwenye climax,mziki ni mtamu kuna pesa kuna u-superstar naubeba
Muda mchache utaniona Ezeco mimi ninatesa
Ninatesa napepesa hizi ni pesa
Ninasema Abracadabra kwasababu nimemuona Shumileta
Shumileta anateswa anakeleketwa anataka zangu pesa
Nikisema jina lake Mungu anatetemeka OKAY AAAH!!!
Hii ni siku nyingine naona raha,wale wanaotaka bifu pleaze rugaha
Ezeco alya jobu obu bulyaha,wale wanaotaka money amahela galyaha

HOOK

Click here to post comments

Join in and write your own page! It's easy to do. How? Simply click here to return to Post Your Lyrics.